Waziri Mkuu
mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akiongoza
harambe ya kuchangia ujenzi wa bweni la wanafunzi wa kike katika Chuo
Kikuu cha Teofilo Kisanji, kinachomilikiwa na Kanisa la Moravian nchini
Tanzania,Jimbo la Kusini Magharibi,usharika wa Ruanda mjini
Mbeya.Katika Harambee hiyo,Mh. Lowassa pamoja na marafiki zake wakiweza
kuchangia sh millioni 25 kusaidia ujenzi huo.
Waziri Mkuu
mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akiendesha
harambe ya kuchangia ujenzi wa bweni la wanafunzi wa kike katika Chuo
Kikuu cha Teofilo Kisanji, kinachomilikiwa na Kanisa la Moravian nchini
Tanzania,Jimbo la Kusini Magharibi,usharika wa Ruanda mjini Mbeya.Kulia
ni Mkuu wa Wilaya ya Rungwe,Mh. Cripin Meela.
Waziri Mkuu
mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akimuhamasisha
mmoja wa waalikwa kuchangia katika harambe ya kuchangia ujenzi wa bweni
la wanafunzi wa kike katika Chuo Kikuu cha Teofilo Kisanji,
kinachomilikiwa na Kanisa la Moravian nchini Tanzania,Jimbo la Kusini
Magharibi,usharika wa Ruanda mjini Mbeya.
Waziri Mkuu
mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa (wa pili
kushoto) akifurahia jambo wakati alipokuwa katika Mazungumzo na Askofu
Kiongozi wa Kanisa la Moravian Tanzania (KMT), Askofu Alinikisa Cheyo
(kushoto) wakati wa hafla ya harambe ya kuchangia ujenzi wa bweni la
wanafunzi wa kike katika Chuo Kikuu cha Teofilo Kisanji,
kinachomilikiwa na Kanisa la Moravian nchini Tanzania,Jimbo la Kusini
Magharibi,usharika wa Ruanda mjini Mbeya..
Waziri Mkuu
mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akiagana na
viongozi mbalimbali wa Chuo hicho mara baada ya kuongoza harambe ya
kuchangia ujenzi wa bweni la wanafunzi wa kike katika Chuo Kikuu cha
Teofilo Kisanji, kinachomilikiwa na Kanisa la Moravian nchini
Tanzania,Jimbo la Kusini Magharibi,usharika wa Ruanda mjini Mbeya.
No comments:
Post a Comment