Pages

Pages

Friday, November 2, 2012

ZIARA YA RAIS KIKWETE MKOANI ARUSHA

Rais Jakaya Mrisho Kikwete(kulia) akiwa na mkuu wa mkoa wa Arusha, Magessa S. Mulongo(wa pili kulia) wa tatu ni waziri wa ujenzi Dr. John Pombe Magufuli, na Mkurugenzi wa jiji la Arusha, Omary Mkombole (kushoto) wakisikiliza kwa makini risala ya mea wa jiji la Arusha(hayupo pichani) wakati wa uzinduzi wa wa nembo mpya ya jiji hilo.
-->

Hatimaye Rais kikwete aanza ziara yake mkoani Arusha na kufanikiwa kuanza na uzinduzi wa haspotali mpya ya Oluturmet iliyokuwa kituo cha afy awali na sasa kupandishwa na hadhi na kuwa haspitali ya wilaya ya Arusha vijijini.
RR
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe wa kuzindua rasmi haspitali ya olturment
 Rais Kikwete akisalimia mmoja wa wagonjwa waliolazwa katika hospitali hiyo mpya ya olturment

-->
Pia alifanikisha matarajio ya wana-Arusha walio wengi ya kuzindua nembo mpya jiji la Arusha na kuibariki sasa iliyokuwa manispaa ya Arusha na sasa kuwa jiji la Arusha rasmi.

Rais Kikwete akikata utepe kuzindua nembo jiji la Arusha
  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea  ufunguo wa kuwa mkaazi wa heshima wa Arusha toka kwa  Meya wa Jiji la Arusha Mstahiki Gaeudence Lytimo mbele ya maelfu ya wakazi wa jiji la Arusha katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid wakati wa sherehe za kihistoria za kuuzindua rasmi mji huo wa kitalii kuwa jiji
jijiRais Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi hati rasmi ya kuuzindua mji wa Arusha kuwa jiji Meya wa Jiji la Arusha Mstahiki Gaeudence Lytimo mbele ya maelfu ya wakazi wa jiji la Arusha katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid 


No comments:

Post a Comment