
Leo tunaendelea na mfululizo wa mazoezi ambayo yatakufanya wewe mwanadada uongeze urembo wako kwa kuondokana na tumbo kubwa lililojaa nyama-uzembe na mafuta ili uwe na tumbo flat.
Haina haja ya kutumia makemikali ambayo yatakuletea madhara hapo baadaye.
Unachotakiwa kufanya ni mazoezi tu na kuzingatia maelekezo ili uyafanye mazoezi hayo kwa ustadi wa hali ya juu.

Mazoezi haya yatakusaidia kupata pumzi na kuimarisha misuli yako huku ukiondoa kiasi kikubwa cha mafuta mwili.
Kula chakula chenye protini
Salad hiyo unaweza kuichanganya pia na matango.
chanzo: jumamtanda
0 comments:
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.