Pages

Pages

Thursday, October 16, 2014

Mashindano ya kwanza ya insha yaandaliwa na kampuni ya BIMO Media kumuenzi muasisi wa maswala ya hifadhi hayati mwl Julius Nyerere

Awali maadhimisho ya kumuenzi muasisi wa maswala ya uhifadhi yalianza kwa maandamanio ya wanafunzi hao kutoka makumbusho ya VIAVIA hadi makumbusho ya Azimio la Arusha yaliyoandaliwa na kampuni ya BIMO Media company kwa kuwashindanosha wanafunzi kuandik INSHA ya maswala ya uhifadhi na ujangili
Displaying IMG-20141016-WA0009.jpg
wanafunzi waliohudhuriaa
mkurugenzi wa kampuni ya BIMO Media, Bertha Ismail akisoma risala mbele ya mgeni rasmi, kulia ni mkugenzi wa makumbusho ya Azimio la Arusha costantine Nyamabondo na wa kwanza kushoto ni meneja wa palace hotel Moses  na wa pili kulia ni mkuu wa wilaya ya Arumneru Nyirembe Munasa Sabi.

mkuu wa wilaya akitoa hotuba yake kumuenzi hayati mwl Nyerere, wageni wengine wakisikiliza ambapo kushoto kwake ni waziri wa maliasili na utalii Lazaro Nyalandu na wa kwanza kulia nimkurugenzi wa TANAPA Allan Kijazi
waziri Nyalandu alipokuwa akikabidhi vyeti kwa washindi

mkurugenzi wa kampuni ya kampuni BIMO Media  Bertha Ismail akimsindikiza waziri Nyalandu baada ya kukabidhi vyeti vya washindi, wadhamini na shule shiriki kwenye shindano la uandishi wa unsha kuhusu maswala ya hifadhi na utalii lengo ikiwa ni kumuenzi muasisi wa maswla ya hifadhi nchini Nyerere



shindano hilo lililodhaminiwa na TANAPA, Ngorongoro, cocacola, palace hotel, AICC, Halmashauri ya jiji la Arusha pamoja na bound tour ya jijini hapa mshindi wa kwanza alikuwa:-Essay Writing (English)
1.   Bassam Abdul – Class 4 B Arusha Meru International
2.   Sameerah Jawahirshah – Class 6. Arusha Modern
3.   Irene Kishari – Arusha Modern

Painting
1.   Kush K. Patel – Arusha Meru International
2.   Mahek Fareed Khan – Arusha Meru International
3.   Rahel Loishiye – Naura Primary School

Isha (Kiswahili)
1.   Juma Shwaibu Juma – Naura Primary
2.   Janeth Elisante – Meru Primary
3.   Mary Obuyah – Meru Primary

ambapo mshindi wa kwanza kwa kila kundi alipewa fedha taslim shilingi laki moja, wa pili 50,000 na watatu 30,000 ambapo wote kwa pamoja walipewa cheti pamoja na medali kwa kila mwanafunzi.

mwisho.................



No comments:

Post a Comment