![]() |
Mkuu wa wilaya ya Moshi,Novatus Makunga akisalimiana na Waziri mkuu Majaliwa. |
![]() |
Waziri Mkuu akislimiana na Mstahiki meya wa Manispaa ya Moshi, Raymond Mboya . |
![]() |
alipowasili |
![]() |
Waziri mkuu akitizama chumba cha kupigia pcha za mionzi (X Ray) katika hospitali ya rufaa ya Mawenzi. |
![]() |
Waziri mkuu akiwa wodi ya watoto alipotembelea kujionea namna ambavyo wagonjwa wanahudumiwa. |
![]() |
Waziri mkuu Majaliwa akizungumza jambo na mganga mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro, Dkt Mtumwa Mwako. |
![]() |
Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro akitoa taarifa ya mkoa kwa Waziri mkuu Kassim Majaliwa. |
![]() |
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiteta jambo na Mbunge wa jimbo la Vunjo , Mhe. James Mbatia walipokutana Ikulu ndogo mjini Moshi |
0 comments:
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.