Rais Jakaya Mrisho Kikwete(kulia) akiwa na mkuu wa mkoa wa Arusha, Magessa S. Mulongo(wa pili kulia) wa tatu ni waziri wa ujenzi Dr. John Pombe Magufuli, na Mkurugenzi wa jiji la Arusha, Omary Mkombole (kushoto) wakisikiliza kwa makini risala ya mea wa jiji la Arusha(hayupo pichani) wakati wa uzinduzi wa wa nembo mpya ya jiji hilo.
-->
Hatimaye Rais kikwete aanza
ziara yake mkoani Arusha na kufanikiwa kuanza na uzinduzi wa haspotali mpya ya Oluturmet
iliyokuwa kituo cha afy awali na sasa kupandishwa na hadhi na kuwa haspitali ya
wilaya ya Arusha vijijini.
RR
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe wa kuzindua rasmi haspitali ya olturment
Rais Kikwete akisalimia mmoja wa wagonjwa waliolazwa katika hospitali hiyo mpya ya olturment
-->
Pia alifanikisha matarajio ya
wana-Arusha walio wengi ya kuzindua nembo mpya jiji la Arusha na kuibariki sasa
iliyokuwa manispaa ya Arusha na sasa kuwa jiji la Arusha rasmi.
Rais Kikwete akikata utepe kuzindua nembo jiji la Arusha
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea ufunguo wa kuwa mkaazi wa
heshima wa Arusha toka kwa Meya wa Jiji la Arusha Mstahiki Gaeudence
Lytimo mbele ya maelfu ya wakazi wa jiji la Arusha katika Uwanja wa
Sheikh Amri Abeid wakati wa sherehe za kihistoria za kuuzindua rasmi mji
huo wa kitalii kuwa jiji
jijiRais Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi hati rasmi ya
kuuzindua mji wa Arusha kuwa jiji Meya wa Jiji la Arusha Mstahiki
Gaeudence Lytimo mbele ya maelfu ya wakazi wa jiji la Arusha katika
Uwanja wa Sheikh Amri Abeid
0 comments:
Post a Comment