Kamanda wa polisi Mkoa wa Arusha kamishna Msaidizi wa
Polisi Liberatus Sabas akionyesha sare za Jeshi la Wananchi wa Tanzania
(JWTZ) ambazo zilikutwa kwenye begi la watu watano ambao wanasadikiwa
kuwa ni majambazi .Tukio hilo lililtokea katika eneo la Olmatejoo
jijini Arusha leo asubuhi (septemba 22) ambapo Jeshi la Polisi lilifanikiwa kuwajeruhi
kwa risasi Watatu kati yao ambao baadae walifariki dunia wakiwa
wanapelekwa hospitali . (Picha na Rashid Nchimbi wa Polisi Arusha)
Home
»
»Unlabelled
» WATU WATATU WANAOSADIKIWA NI MAJAMBAZI WAUAWA ARUSHA
Thursday, November 22, 2012
Recent Posts
Riba kubwa na ukosefu wa elim ya biashara inafilisi wakopaji
02 February 2016Bertha Mollel0JAJI MKUU OTHUMAN CHANDE ATOA SIKU SABA KWA MAHAKIMU 508 WATOE MAELEZO KWANINI WASIFUNGULIWE MASHITAKA KWA KUFANYA KAZI CHINI YA KIWANGO
02 February 2016Bertha Mollel0WAZIRI MKUU MAJALIWA AFANYA ZIARA HOSPITALI YA RUFAA MAWENZI
02 February 2016Bertha Mollel0EALA yaombwa kuondoa Burundi katika uanachama wa jumuiya EAC
02 February 2016Bertha Mollel0
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.