Mkurugenzi
wa Masoko wa Bodi ya Utalii Tanzania TTB Devotha Mdachi akizungumza na
Waziri wa mambo ya nje wa zamani wa Uingereza na Mbunge wa Jimbo la
South Shields Mh.David Miliband wakati ujumbe wa TTB ulipotembelea
Uwanja wa Sunderland FC na kushuhudia mchezo wa ligi kuu ya Uingereza
kati ya timu hiyo na timu ya Aston Villa uliofanyika siku ya jumamosi
nchini Uingereza, Bodi ya utalii Tanzania inatangaza matangazo ya
utalii wa Tanzania katika viwanja sita vinavyotumika kuchezea ligi kuu
ya Uingereza (Premier Liegue) kikiwemo kiwanja cha Sunderland FC,
katika picha katikati ni Edmund Hazal Mkurugenzi wa Kampuni ya Lantech
Services inayoratibu matangazo hayo,Bw. David Miliband pia ni mwenyekti
wa klabu ya Sunderland. Waziri
wa mambo ya nje wa zamani wa Uingereza na Mbunge wa Jimbo la South
Shields Mh.David Miliband akiwa katika picha ya pamoja na Meneja Masoko
wa Bodi ya Utalii Tanzania TTB Bw. Geofrey Meena kushoto mara baada ya
kumalizika kwa mchezo wa ligi kuu ya Uingereza kati ya Suderland na
Aston Villa, David Miliband pia ni mwenyekiti wa klabu ya SuderlandMkurugenzi
wa Masoko wa Bodi ya Utalii Tanzania TTB Devotha Mdachi akiwa katika
picha ya pamoja na wachezaji wa zamani na maafisa wa timu ya Sunderland
FC baada ya kukabidhiwa zawadi ya saa kutoka kulia ni Balozi wa
Sunderland na Golikipa wa zamani Jimmy Montgomery, Gary Mutchinson
Mkurugenzi wa Biashara na Kevin Ball Nahodha wa zamani wa timu hiyo.Balozi
wa Sunderland na Golikipa wa zamani Jimmy Montgomery kiutambulisha
ujumbe wa maafisa wa bodi ya utalii TTB ulipotembelea uwanja huo.
Home
»
»Unlabelled
» WAJUMBE WA BODI YA UTALII TANZANIA (TTB) WATEMBELEA KLABU YA SUNDRLAND FC NA KUJIONEA MATANGAZO YA UTALII WA TANZANIA YANAVYORUKA UWANJANI HAPO
Monday, November 5, 2012
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
mdada mambo unafanya kazi nzuri but kumbuka kuweka bailaini za watu unaochukuwa stori kwao maana ipo siku zitakuletea matatizo ukichukuwa weka bailani umetoa wapi
ReplyDelete