Grace Mbowe mwanamama aliyehama chama cha Chadema na kuhamia CCM wilayani Hai amefariki dunia katika ajali mbaya ya dari iliyotokea Kab uku mkoani Tanga mapema asbuhi ya jana Septemba 29/ mwaka huu.
Gerce ni dada wa Mwenyekiti wa CHADEMA, Freema Mbowe. Tutaendelea kuwajulisha juu ya tukio hilo, mwenyezi mungu ampumuzishe kwa amani.
chanzo: jumamtanda
0 comments:
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.