.

.
Wednesday, March 26, 2014

10:45 PM


Dakika ya 90,Yanga 5-0 Tanzania Prisons - Zinaongezwa dakika 4

Dakika ya 89 Yanga wanapata bao la 5 mfungaji Hamis Kizza - Yanga 5-0 Tanzania Prisons

Bryan Umony wa Azam Aiongezea timu yake goli la pili Dk ya 82
Mgambo JKT 0 - 2 Azam - Dakika sasa ni ya 86 huko Mkwakwani Tanga.

Dakika ya 79, Nadir Haroub "Cannavaro" anaipatia Young Africans bao la nne kwa penatiAnaingia Niyonzima kuchuku nafasi ya Ngasa

Dakika ya 75, Young Africans 3 - 0 Tanzania Prisons
Dakika ya 68, super sub Hamisi Kizza anaipatia Young Africans bao la tatu

Dakika ya 60, Young Africans 2 - 0 Tanzania Prisons - Anaingia Hamisi Kizza kuchukua nafasi ya Emmanuel Okwi


Dk 60, John Bocco anaipatia Azam FC goli la kwanza

Kipindi cha pili cha mchezo kimeanza, Young Africans 2 - 0 Tanzania Prisons.


Mpira ni mapumziko, Yanga 2-0 Tanzania Prisons
HT: Azam FC 0-0 Mgambo

Prisons wanapata penalti kutokana na Oscar Joshua kucheza rafu, anapiga Mwangama anakosa

Dakika ya 37, Mrisho Ngasa anaipatia Young Africans bao la pili

Yanga imefanya mabadiliko, Ametoka Jeryson TEGETE ameingia Hussein Javu

Dakika ya 37 huko Mkwakwani bado bila bila...Azam vs Mgambo



Dakika ya 30, Young Africans 1 - 0 Tanzania Prisons

28' Yanga 1 - 0 Tanzania Prisons
Dk 20 Azam 0-0 Mgambo

20' Emmanuel Okwi anaipatia Young Africans bao la kwanza.

Dakika ya 15, Young Africans 0 - 0 Tanzania Prisons


10' Milango ni migumu bado uwanja wa taifa

5' Yanga 0-0 Prisons

Mpira ndio umeanza hapa Uwanja wa Taifa kati ya Young Africans Vs Tanzania Prisons

Kikosi cha Yanga kinachoanza leo

1. Juma Kaseja - 29
2. Juma Abdul - 12
3. Oscar Joshua - 4
4. Nadir Haroub "cannavaro" - 23
5. Kelvin Yondani - 5
6. Frank Domayo - 18
7. Saimon Msuva - 27
8. Hassan Dilunga - 26
9. Jerson Tegete - 10
10. Mrisho Ngasa - 17
11. Emmanuel Okwi - 25
Subs:
1. Barthez, 2.Luhende, 3.Chuji, 4.Niyonzima, 5.Javu, 6.Kizza, 7.Didier
 
chanzo: Shafii dauda blog

0 comments:

Post a Comment