mkurugenzi wa kampuni ya kampuni BIMO Media Bertha Ismail akimsindikiza waziri Nyalandu baada ya kukabidhi vyeti vya washindi, wadhamini na shule shiriki kwenye shindano la uandishi wa unsha kuhusu maswala ya hifadhi na utalii lengo ikiwa ni kumuenzi muasisi wa maswla ya hifadhi nchini Nyerere
shindano hilo lililodhaminiwa na TANAPA, Ngorongoro, cocacola, palace hotel, AICC, Halmashauri ya jiji la Arusha pamoja na bound tour ya jijini hapa mshindi wa kwanza alikuwa:-Essay Writing (English)
1. Bassam Abdul – Class 4 B Arusha Meru
International
2. Sameerah Jawahirshah – Class 6.
Arusha Modern
3. Irene Kishari – Arusha Modern
Painting
1. Kush K. Patel – Arusha Meru
International
2. Mahek Fareed Khan – Arusha Meru
International
3. Rahel Loishiye – Naura Primary School
Isha (Kiswahili)
1. Juma Shwaibu Juma – Naura Primary
2. Janeth Elisante – Meru Primary
3. Mary Obuyah – Meru Primary
ambapo mshindi wa kwanza kwa kila kundi alipewa fedha taslim shilingi laki moja, wa pili 50,000 na watatu 30,000 ambapo wote kwa pamoja walipewa cheti pamoja na medali kwa kila mwanafunzi.
mwisho.................
|
0 comments:
Post a Comment