Aliyekuwa Mbunge wa Arusha
Mjini (Chadema), Godbless Lema leo ameshinda rufaa ya kesi yake.
Mahakama imejiridhisha kuwa madai ya udhalilishaji hayakuathiri uchaguzi
wala mlalamikaji (CCM). Tangu sasa Lema ni mbunge halali wa Jimbo la
Arusha Mjini kwa tiketi ya Chadema. CCM wameamriwa kulipa gharama za
kesi hii tangu ilipofunguliwa mpaka ilipoishia!
Home
»
»Unlabelled
» BREAKING NEWS: GODBLESS LEMA ASHINDA RUFAA YA KESI YAKE
Friday, December 21, 2012
Recent Posts
Riba kubwa na ukosefu wa elim ya biashara inafilisi wakopaji
02 February 2016Bertha Mollel0JAJI MKUU OTHUMAN CHANDE ATOA SIKU SABA KWA MAHAKIMU 508 WATOE MAELEZO KWANINI WASIFUNGULIWE MASHITAKA KWA KUFANYA KAZI CHINI YA KIWANGO
02 February 2016Bertha Mollel0WAZIRI MKUU MAJALIWA AFANYA ZIARA HOSPITALI YA RUFAA MAWENZI
02 February 2016Bertha Mollel0EALA yaombwa kuondoa Burundi katika uanachama wa jumuiya EAC
02 February 2016Bertha Mollel0
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.