Mkoani Arusha leo
kunataraji kufanyika michuano ya NDONDO CUP itakayoshirikisha jumla ya
timu nane kutoka mkoani hapa.
Lengo la michuano hiyo ni
kuwakutanisha wapenda soka mkoa wa Arusha pamoja na kuwapa nafasi wa
mashabiki wa mchezo huo Mkoani hapa kukutana sehemu moja.
Michuano hii itaanza kutimua vumbi siku ya Ijumaa ya tarehe 24/04/2015 na kufika tamati siku ya jumapili.
Mshindi wa kwanza katika michuano
hii atapata zawadi ya fedha taslimu shilingi laki tano (500,000) pamoja
na kikombe, mshindi wa pili atajipatia fedha taslimu shilingi laki tatu
(300,000).
Timu zitakazoshiriki katika michuano
ya NDONDO CUP 2015 ni FFU OLJORO, TANZANITE SPORTS FOUNDATION, RED
STAR, TANZANITE VETERAN, LEMARA BOYS, NJIRO SPORTS, SMALL NYOTA na
UMBRELA GARDEN.
Ratiba katikIMA MICHUANO HIYO NI KAMA IFUATAVYO
FFU OLJORO VS TANZANITE SPORTS CLUB, TANZANITE VETERAN VS RED STAR, LEMARA BOYS VS UMBRELA GARDEN, NJIRO SPORTS VS SMALL NYOTA
Michezo yote itapigwa siku ya ijumaa
kwa mfumo wa bonanza na nusu fainali itakuwa siku ya jumamosi wakati
mchezo ya fainali utapigwa siku ya jumapili.
Michuano hii itafanyika katika
uwanja wa AICC uliopo karibu na round about ya KIJENGE. muda ni kuanzia
saa 4 asubuhi mpaka 12 jioni.
Katika michuano hii kutakuwa pia na
burudani toka kwa bingwa wa kucheza na baiskeli dunia (BMX CHAMPION)
VICK GOMEZ, pamoja na wasanii wa Bongo flava akiwemo G NAKO, CHABA,
KINGS, na mchekeshaji KATARINA.
Home
»
»Unlabelled
» ndondo cup kutikisa Arusha Leo
Friday, April 24, 2015
Recent Posts
Riba kubwa na ukosefu wa elim ya biashara inafilisi wakopaji
02 February 2016Bertha Mollel0JAJI MKUU OTHUMAN CHANDE ATOA SIKU SABA KWA MAHAKIMU 508 WATOE MAELEZO KWANINI WASIFUNGULIWE MASHITAKA KWA KUFANYA KAZI CHINI YA KIWANGO
02 February 2016Bertha Mollel0WAZIRI MKUU MAJALIWA AFANYA ZIARA HOSPITALI YA RUFAA MAWENZI
02 February 2016Bertha Mollel0EALA yaombwa kuondoa Burundi katika uanachama wa jumuiya EAC
02 February 2016Bertha Mollel0
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.