.

.
Tuesday, November 27, 2012

7:12 AM

TUNAOMBA RADHI KWA PICHA HII KWANI NI MBAYA....TUMUOMBEE KWA MUNGU APUMZIKE SALAMA SHARO WETU

Huu ndio mwili wa Sharo baada ya Ajali

hili ndio gari alilopata nalo ajali Sharo likiwa limeharibika vibaya baada ya ajali
Mjomba wa marehemu Sharo Millionea, Bwana Omary Fundikira asema marehemu anatarajiwa kuzikwa siku ya kesho, Jumatano. Hii ni kutokana na msanii mwenzake John Maganga kuzikwa leo.
Pia rafiki wa marehemu bwana Mohamed Ismail ambaye ndiye aliyemuazimisha gari alilopata nalo ajali, asema ilitakiwa waongozane kwenda Tanga pamoja ila alishindwa maana alipata majukumu mengine

0 comments:

Post a Comment