Waziri wa Biashara Viwanda na Masoko Nassor Mazrui, akizungumza
wakati wa utiaji wa Saini wa kuitangaza Karafuu ya Zanzibar katika soko
la Dunia uliofanuika katika ukumbi wa Hoteli ya Grand Palace Malindi
Zanzibar, kushoto Mwakilishi wa WIPO Neema Nyrerere na Mwakilishi wa
ITC Jacky Charbounneau.
Mwakilishi wa WIPO Neema Nyerere akizungumza wakati wa utilianaji wa
saini hiyo wakati akiiwakilisha WIPO kusimamiaa kuitangaza Karafuu ya
Zanzibar katika Soko la Dunia,wkati wa utiaji wa saini hiyo iliosainia
na Waziri wa Biashara kwa niaba ya Serekali ya Mapinduzi Zanzibar.
Waziri wa Biashara Nassor Mazrui akibadilishana mikataba na Mwakilishi
wa ITC jACKY Charbounneau,baada ya kusaini makabaliano hayo
yaliofanyika katika ukumbi wa hoteli ya Grand Palace Malindi.
Waziri wa Biashara Masoko na Viwanda Nassor Mazrui, akisaini kwa niaba
ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kuitangaza Karafuu ya Zanzibar katika
soko la Dunia,
Mwakilishi wa ITC Jacky Charbounneau, akizungumza wakati wa utilianaji
wa saini hiyo wakati akiiwakilisha ITC kusimamiaa kuitangaza Karafuu ya
Zanzibar katika Soko la Dunia,wkati wa utiaji wa saini hiyo iliosainia
na Waziri wa Biashara kwa niaba ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar.
chanzo:habari news
0 comments:
Post a Comment