.

.
Saturday, November 17, 2012

10:39 PM

 Wasanii wa moja kati ya Vikundi vinavyoshiriki Tamasha la ngoma za Asili za makabila ya watu wa Mkoa wa Mtwara  la MaKuYa wakifanya onyesho la Ngoma katika Uwanja wa Nangwanda Mjini Mtwara. Tamasha hilo la Siku mbili  limevuta hisia za wakazi wengi wa mji wa Mtwara.

Tamasha la Ngoma za asili la makabila ya mkoa wa Mtwara Maarufu kama Tamasha la MaKuYa limeanza rasmi, huku vikundi mbalimbali vya sanaa vikonyesha umahiri mkubwa katika kucheza ngoma za asili za makabila yao.
Tamasha hilo ambalo mwaka huu lilianza kwa maandamano kutoka katika viwanja vya mashujaa kwenda Uwanja wa Nangwanda  maarufu kama uwanja wa Umoja mjini Mtwara limevuta hisia za wakazi wengi wa mji wa huo na vitongoji vyake ambapo licha kuwepo kwa jua kali lakini watu waliendelea kumiminika uwanjani kushuhudia wasanii wakisakata ngoma mbalimbali.

0 comments:

Post a Comment