.

.
Sunday, November 11, 2012

3:46 AM


Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiendesha kikao cha Halmashauri kuu ya CCM Taifa mjini Dodoma.Wengine katika picha kutoka kushoto ni Rais Mstaafu awamu ya Tatu Benjamin William Mkapa,Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar(SMZ) Dkt.Ali Mohamed Shein,Rais Mstaafu wa Zanzibar Amani Abeid Karume, Katibu Mkuu wa CCM Dkt.Wilson Mukama na kulia ni Makamu mwenyekiti CCM Bara Ndugu Pius Msekwa.
Mwenyekiti wa CCM Taifa,Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza kwenye mkutano wa Halmshauri Kuu ya CCM Taifa.
Wajumbe wa Halmashauri kuu ya CCM taifa,Mhe.Mama Salma Kikwete , Waziri wa Mambo ya nje na Ushirikiano wa Kimataifa Bernard Membe na Ridhwani Kikwete wakijadiliana jambo katika mkutano wa Halmashuari kuu ya CCm taifa katika jengo la White House, mjini Dodoma.
Baadhi ya Wajumbe wa halmashauri kuu ya CCM Taifa wakiwa kwenye Mkutano wa Halmshauri hiyo unaoendelea katika ukumbi wa White House  mjini Dodoma.picha na Freddy Maro.

0 comments:

Post a Comment