.

.
Friday, November 16, 2012

10:32 AM
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiombewa dua na viongozi wa dini mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa kilimanjaro leo Novemba 15, 2012 tayari kwa ziara ya siku tatu ya kikazi mkoani Arusha
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na viongozi wa dini mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa kilimanjaro jioni leo Novemba 15, 2012 tayari kwa ziara ya siku tatu ya kikazi mkoani Arusha. PICHA NA IKULU
 Rais Jakaya Kikwete akipokea risala ya Waheshimiwa Majaji toka kwa mwakilishi wao, Jaji Dk Fauz Twalib, wakati wa kufunga mkutano wa siku nne wa Majaji uliofanyika katika Hoteli ya Snow Crest jijini Arusha leo Ijumaa Novemba 16. (Picha Zote kwa Hisani ya IKULU).
 Rais Jakaya Kikwete akifunga mkutano wa siku nne wa Majaji uliofanyika katika Hoteli ya Snow Crest jijini Arusha leo.
 Waheshimiwa Majaji wakimsikilia Rais Jakaya Kikwete (hayupo pichani), wakati wa kufunga mkutano wa siku nne wa Majaji uliofanyika katika jijini Arusha leo Ijumaa.
Rais Kikwete akifunga mkutano wa siku nne wa Majaji uliofanyika jijini Arusha leo Ijumaa. Wengine kutoka kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mh. Magesa Mulongo, Jaji Mkuu  Mh. Mohamed Chande Othman, Waziri wa Sheria Mh. Mathias Chikawe, Jaji Mkuu wa Zanzibar Mh. Omar Othman Makungu na Jaji Kiongozi Mh. Fakih Jundu.

0 comments:

Post a Comment