.

.
Thursday, November 8, 2012

9:40 PM


picha za juu ni Gari  ndogo la abiria maarufu kama daladala aina ya toyota hiace lenye namba T 220 ADKL likiwa limeaharibika vibaya baada ya kutumbukia mtaroni leo mchana
Wananchi wakiwa wanashughudia gari hilo jinsi ilivyoharibika mara baada ya majeruhi kukimbizwa hospitali ya mkoa ya mounti meru jijini Arusha
                                                               
                                                                      
Watu 6 wamenusuriaka kufa mara baada ya gari walilokuwa wakisafikiria kudumbukia mtaroni eneo la   anchester katika  barabara ya Arusha -Moshi kwenye daraja la mto Themi leo mchana (octoba 8)
Gari hilo aina ya toyota hiace lenye namba za usajili T 220 ADK lilikuwa likitokea Usariver kuelekea mjini ambapo baada ya kufika eneo hili kwa mujibu wa mashuhuda lilitaka kulipita gari lingine ndipo lilipokosa uelekeo na kudumbukia mtaroni hapo.
Aidha mashuhuda wakiendelea kuongea na BERTHA BLOG walisema kuwa ndani ya gari hilo kulikuwepo na abiria sita na wota wamejeruhiwa vibaya sana na kupelekwa katika hospitali ya mkoa Mount Meru.
 Blog hii itaendelea kukujaza kuhusiana na tukio hilo ikiwemo majina ya watu hao........
 
Wito: madereva kuweni makini na vyomb vya moto hasa katika kufuata  sheria za barabarani

0 comments:

Post a Comment