.

.
Wednesday, November 7, 2012

9:09 PM

Waziri wa Habari Utamaduni Utalii na Michezo akizungumza na Ujumbe wa wandishi wa habari kutoka Misri huko Wizarani, waandishi hao walitembelea maeneo kadhaa ya Kiutalii Zanzibar.
 
                                                                                                               Na mwandishi wetu- Zanzibar                                     
Waziri wa Habari, Utalii,Utamaduni na Michezo Said Ali Mbarouk amesema kuwa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzíbar inakusudia kuifanya sekta ya utalii kuongeza nafasi za ajira kwa wananchi wake ili kuinua kipato chao na Taifa kwa ujumla.
Mbarouk aliyasema hayo jana huko Wizara ya Habari Utamaduni Utalii na Michezo wakati alipokutana na Waandishi wa Habari kutoka nchini Misri waliofika Zanzíbar kujionea shughuli mbalimbali za utalii zinavyofanywa na kuweza kuitangaza Zanzíbar katika nchi ya Misri.

0 comments:

Post a Comment