RAIS Barack Obama ameshinda kwa mara nyingine nafasi ya kuwa rais wa Amerika akimbwaga mpinzani wake Mitt Romney
Tume ya uchaguzi nchini Marekani imemtangaza rais wa awamu iliyopita Barack Obama kuwa rais wa nchi hiyo kufuatia kuibukakidedea kwa kushinda majimbo 281 akimbwaga mpinzani wake Mitt Romney aliyetwaa majimbo 203, awali Obama alitakiwa kushinda majimbo 270 tu lakini amevuka malengo na kufikisha idadi hiyo
Vifijo nderemo na furaha iliyoje imetawala katika miji mabalimbali nchini marekani huku baadhi ya wadau na wapenzi wa Rais Obama wakishangilia kwa nyimbo wakidai kuwa nuru bado inaliangaza taifa la Marekani.
Kuifuatia tukio hilo Rais Obama alionekana katika maeneo mbalimbali akiwashukuru wapiga kura wake na kueleza kuwa imani yao kwake itaendelea kujidhihirisha katika kipindi chake cha kuliongoza taifa hilo cha miaka minne iliyobaki.
Endelea kufuatana nasi kwa habari zaidi

habari kwa hisaniya http://www.habarimpya.com/
0 comments:
Post a Comment