.

.
Monday, August 19, 2013

MAJAMBAZI HAO WAKIWA NDANI YA GARI LA POLISI BAADA YA KUIBA KIASI CHA FEDHA KATIKA KITUO CHA MAFUTA ENEO LA MALAPA HATIMAYE KUNASHWA KWENYE MAKUTANO YA BARABARA ZA MANDELA NA NYERERE DAR.

MMOJA WA WATU WANAOSADIKIWA KUWA NI JAMBAZI AKIWA CHINI YA ULINZI KANDO YA BARABARA YA MANDELA AKIPILEKWA KUUNGANISHWA WENZAKE KWENYE GARI KUPELEKWA KITUO CHA POLISI BUGURUNI DAR ES SALAAM LEO.

MAJAMBAZI WAWILI WAKIWA NYANGANYANGA BAADA YA KUPATA KICHAPO CHA MBWA MWIZI KUTOKA KWA POLISI.

ASKARI WENYE PIKIPIKI WAKIONDOKA ENEO LA TUKIO BAADA YA KUFANIKIWA KUWANASWA MAJAMBAZI HAO.
MOJA YA PIKIPIKI AINA YA BAJAJ INAYOSADIKIWA PIA KUIBWA NA MAJAMBAZI HAO IKIWA IMEPAKIWA KWENYE GARI LA POLISI, PIA MSAFARA UKISINDIKIZWA NA TRAFIKI MWENYE PIKIPIKI KUELEKEA KITUO CHA POLISI CHA BUGURUNI. chanzo, jummtanda blog  0 comments:

Post a Comment