.

.
Tuesday, October 1, 2013

2:10 PM
Joshua Mulundi (21) raia wa Kenya aliyekuwa anatuhumiwa kumteka na kumtesa Dk Ulimboka na kisha kuachiwa huru na mahakama na baadaye kufunguliwa kesi ya kulidan...ganya Jeshi la Polisi, amehukumiwa kifungo cha mwezi mmoja Jela au kulipa faini ya shilingi elfu moja (1,000) baada ya kukiri kosa lake.

Hata hivyo mshtakiwa alifanikiwa kulipa faini hiyo na hivyo kuachiwa huru baada ya mmoja wa waandishi wa habari kumpatia pesa hiyo.
Kwa habari zaidi bofayhttp://pamojapure.blogspot.com/a hapa.......
 

0 comments:

Post a Comment