MKUTANO WA AMANI KUFANYIKA ARUSHA KESHO, WANASIASA, VIONGOZI WA DINI NA MILA WAASWA KUHUBIRI AMANI
Msajili wa vyama vya siasa amesisitiza uwepo wa Mkutano wa Amani unaotarajiwa kufanyika kesho mkoani Arusha ambapo amewataka viongozi wa dini, siasa na mila kuhubiri Amani na waumini wao kuhudhuria kwa wingi.
Alisema kuwa viongozi hao wasitumie wingi wa wanachama wao kuukwamisha mkutano huo bali wingi wa wanachama wao uwe chachu ya kuufanikisha mkutano huo ili matukio ya uvunjifu wa Amani uweze kwisha mkoani Hapa lengo ni kufanikisha uchumi wa Arusha kukua kwa utalii, mikutano,n.k
0 comments:
Post a Comment