Mcha Vialli; Mfungaji wa mabao mawili ya Azam leo Na Prince Akbar AZAM FC imezidi kuitia presha Yanga kileleni mwa Ligi Kuu ya Vodac...
YANGA WAINDEA AZAM FC BAGAMOYO
VINARA wa Ligi Kuu ya Vodacom, Yanga wameamua kwenda kambini mjini Bagamoyo kujiandaa na mechi yao dhidi ya Azam itakayochezwa Ju...
FIFA YAUPIGA STOP UCHAGUZI TFF
Tenga akizungumza na Waandishi wa Habari mchana wa leo TFF. Kushoto ni Boniface Wambura, Ofisa Habari wa shirikisho hilo Na Bonifac...
BAADA YA MAUWAJI YA PAROKO ZANZIBAR , ASKOFU MDEGELA AFICHUA SIRI NZITO
Askofu Dkt Mdegela Na .Said Ng'amilo Iringa. ASKOFU wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosis...
NYUMBA MILIONI 3 ZINAHITAJIKA TANZANIA
Shirika la nyumba la Taifa limeweka mikakati ya kupunguza mahitaji ya nyumba zaidi ya milioni 3 hapa nchini kwa kuhakikisha wanajenga ny...
maafisa vijana ni muhimu katika halmashauri zetu
WAZIRI wa habari,michezo na Utamaduni,Dkt Fenela Mkangara amezitaka Halmashauri zote ndani ya mkoa wa Arusha kuhakikisha kuwa zinajiwe...
LOWASSA APIGWA CHINI UVCCM
BARAZA Kuu la Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM), jana lilitangaza majina mapya ya Wajumbe wa Baraza la Wadhamini, huku likiweka kando jina la ...
WANACHAMA WA CCM KUHAMIA CHADEMA SOON
WANACHAMA wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa Kijiji cha Shambarai Simanjiro Mkoa wa Manyara wametishia kuhama chama hicho baada ya baadhi ya v...
KANISA LACHOMWA MOTO JANA HUKU PADRI MUSHI KUZIKWA LEO
SIKU tatu baada ya kuuawa kwa kupigwa risasi Padri Evarist Mushi Mjini Zanzibar, Kanisa la The Pool of Siloam lililoko katika Shehia ya Kia...
Chadema yalaani mauaji ya kidini, kuzindua sera ya majimbo
Viongozi wa Chadema wakiwa wamekaa meza kuu katika mkutano wa Uzinduzi wa Chadema Kanda ya Kaskazini uliofanyika jana katika viwan...
Serikali Zanzibar yaahidi kuwasaka hadi kuwatia mbaroni waliohusika na mauaji ya Padri Evaristus Mushi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein. --- RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la ...
Askofu Shao: Matukio ya uhalifu, ubaguzi na chuki dhidi ya ukristo Zanzibar yanaendelea kushamiri kwani watu waliopewa dhamana ya kulinda na kusimamia amani na usalama wa wananchi wanaishia kukemea kwa maneno tu badala ya vitendo.
Askofu wa Kanisa Katoliki Parokia ya Minara miwili Augustino Shao akizungumza na Waandishi wa...
PENGO: Wakristo Msilipe Kisasi Mauaji ya Padri Mushi
Kiongozi wa kanisa katoliki Tanzania, Muadhama Kadinali Polycarp Pengo KIONGOZI wa kanisa katoliki Tanzania, Muadhama Kadinali...
TAMKO LA WAKRISTO KUHUSU MAUAJI YA ASKOFU
TANZANIA CHRISTIAN FORUM (TCF) MKOA WA MBEYA TAMKO RASMI KUTOKA KTK JUKWAA LA WAKRISTO MKOA WA MBEYA MHESHIMIWA NDG. ABAS KANDORO,...