Waziri
wa Kazi na Ajira,Mh. Gaudencia Kabaka akizungumza na kuzindua
wimbomaalum wa NSSF uliotungwa na Wasanii hapa nchini wajiitao All
Stars,mbele ya wadau waliohudhuria mkutano wa tatu wa Wadau wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) ulioanza leo Februari 13,kwenye ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa
AICC,jijini Arusha.Kauli mbiu ya mkutano huo kwa mwaka huu ni Sekta ya hifadhi ya Jamii Tanzania,Njia panda-Nini kifanyike.
AICC,jijini Arusha.Kauli mbiu ya mkutano huo kwa mwaka huu ni Sekta ya hifadhi ya Jamii Tanzania,Njia panda-Nini kifanyike.
Mkurugenzi
Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF),Dkt. Ramadhan Dau
akifafanua jambo kwa umakini mbele ya Wadau zaidi ya 1000 kutoka
sehemu mbalimbali ndani na nje ya Tanzania, kwenye mkutano wa tatu
wa Wadau wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) unaondelea hivi
sasa kwenye ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa AICC,jijini
Arusha,ambapo kauli mbiu yake kwa mwaka huu ni Sekta ya hifadhi ya Jamii Tanzania,Njia panda-Nini kifanyike..
Mbunge wa Jimbo la Kigoma Kaskazini-CHADEMA,Mh. Zitto Kabwe akichangia moja ya mada zilizokuwa sikitolewa kwenye mkutano wa tatu
wa Wadau wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) ulioanza leo
Februari 13,kwenye ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa AICC,jijini
Arusha.
Mkurugenzi
wa Uendeshaji wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF),
Crenscentius Magori akifafanua jambo mapema leo asubuhi wakati mkutano wa tatu
wa Wadau wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) ulioanza leo
Februari 13,ukiendelea kwenye ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa
AICC,jijini Arusha.
Pichani ni Mwenyekiti wa wasataafu
wa TAZARA,Injinia Mwl.Sango akitoa ushuhuda wake kuhusiana na namna
shirika la NSSF lilivyowasaidia wastaafu wa shirika la TAZARA,kupitia
mfuko wa pensheni na fao la kujitoa.
Mwenyekiti wa kikao cha awamu ya kwanza cha Mkutano wa tatu
wa Wadau wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF),Bwa.Daudi
Msangi akitoa utaratibu kwa Wanachama na wadau mbalimbali waliohudhuria
mkutano huo unaoendelea ,kwenye ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa
AICC,jijini Arusha,kulia kwake ni Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF),Dkt. Ramadhan Dau
Mmoja wa wajumbe wa NSSF,Peter
Sumbi aliyekuwa akifanya kazi shirika la Wildlife Fund akitoa ushuhuda
wake,namna alivyopata ajali na kufanikiwa kupata fao lake la ajali
kazini kutoka kwa shirika la NSSF na hatimaye kufaidi matunda kupitia
mfuko huo.
Meneja
wa kanda na anaeshughulikia Idara mbalimbali za serikali kutoka
NSSF,Rehema Chuma akifafanua namna ya uendeshaji wa shirika hilo kwa wadau waliohudhuria mkutano wa tatu
wa Wadau wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) ulioanza leo
Februari 13,kwenye ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa AICC,jijini
Arusha.
Mkurugenzi wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Wakili Harold Sungusia akichangia moja ya mada zilizokuwa sikitolewa kwenye mkutano wa tatu
wa Wadau wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) ulioanza leo
Februari 13,kwenye ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa AICC,jijini
Arusha.
Sehemu ya Meza kuu ya mkutano huo.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF),Dkt. Ramadhan Dau akizungumza jambo na Mkurugenzi
wa Uendeshaji wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF),
Crenscentius Magori mapema leo asubuhi kabla ya kuanza kwa mkutano wa
shirika hilo.
Wadau
Meneja Mahusiano wa PPF,Lulu Mengele na Meneja Mahusiano wa SSRA,Sarah Kibonde wakifuatilia yanayojiri ndani ya mkutano huo unaoendelea hivi sasa.
Baadhi ya Wakurugenzi wa Mifuko ya Jamii nchini wakiwa kwenye mkutano huo.
Mbunge wa jimbo la Mbeya Mjini
(CHADEMA),Mh Joseph Mbilinyi a.k.a Sugu akiwa sambamba na Mbunge wa
Arumeru Mashariki,Mh Joshua Nasari (CHADEMA) na Wadau wengine
wakifuatilia yanayojiri hivi sana kwenye mkutano wa NSSF.
Mbunge
wa jimbo la Ludewa-CCM,Mkoani Njombe,Mh. Deo Filikunjombe (CCM) akiwa na
baadhi ya Wabunge Wenzake wanaohudhuria mkutano huo wakifuatilia kwa
makini yaliyokuwa yakijiri ndani ya mkutano huo ambao umewakutanisha
wadau zaidi ya 1000 kutoka sehemu mbalimbali jijini Arusha.
Baadhi ya Wahariri wa vyombo vya
habari mbalimbali wakifuatilia yanayojiri ndani ya mkutano wa NSS
unaoendelea hivi sana ndani ya ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa AICC,jijini Arusha.
Baadhi ya watendaji wakuu wa NSSF wakiwa mkutanoni.
Wadau
Sehemu ya Wabunge waliopo kwenye mkutano huo.
0 comments:
Post a Comment