.

.
Friday, June 7, 2013

Wakimbiza Mwenge wa Uhuru wakiingia mkoa wa Arusha kwa kishindo.
Mkuu wa Mkoa wa Arusha,Magesa Mulongo(kulia)akimkabidhi Mkuu wa wilaya ya Karatu Mwenge wa Uhuru ukimbizwe wilayani humo
Kiongozi wa mbio za Mwenge mwaka 2013,Juma Ali Simai akisoma kibao baada ya kuzindua jiko katika Shule ya Msingi Jangwani.Mto wa Mbu,Monduli.
Mkuu wa wilaya ya Monduli,Jowika Kasunga akizungumza wakati wa kuweka jiwe la msingi la josho la mifugo katika Kijiji cha Losirwa Kata ya Esilarei
Mkuu wa wilaya ya Karatu,Felix Ntibenda akimkabidhi Mwenge wa Uhuru Mkuu wa wilaya ya Monduli,Jowika Kasunga
Mwenge wa Uhuru
Wanafunzi wa Shule ya Msingi Jangwani wakifurahia Mwenge wa Uhuru.
Wadau wakiwa  ndani ya gari namba moja.
Mkuu wa Mkoa wa Arusha,Magesa Mulongo(kushoto)akimkabidhi zawadi kiongozi wa mbio za Mwenge,Juma Ali Simai

0 comments:

Post a Comment