.

.
Sunday, June 2, 2013

TAARIFA zilizotufikia zinasema kuwa mwili wa mpendwa wetu,marehemu Albert Mangwair utaletwa nchini wiki ijayo siku ya jumanne, awali ililipotiwa kuwa ungeletwa jana jumamosi ama leo siku ya jumapili ili kufanikisha taratibu zote za mazishi yake.
 
Hata hivyo watanzania wanaombwa kutoa mchango wa hali na mali ili pesa zinapotaika na kubakia kiwe faraja kwa mama mzazi wa Ngwair aliye kwenye kipindi kigumu cha kumpoteza mwanae kipenzi unaweza kuchangia kupitia Tigo pesa kwa watumiaji wa Mtandao wa Tigo au M-Pesa kwa watumiaji wa mtandao wa Vodacom.

Unaweza kutuma Kupitia 
Namba ya kaka wa Marehemu Kenneth Mangwair 
kupitia namba 0717553905 kwa watumiaji wa Tigo Pesa 
na kwa M-Pesa unaweza tuma mchango wako kupitia namba 0754967738.
au unaweza Kuchangia kwa kudeposit kupitia Benki ya NMB JINA LA MWENYE A/C NI KENNETH MANGWEA
2012505840.

0 comments:

Post a Comment