.

.
Friday, July 5, 2013

NCHI 25 MASKINI ZAIDI DUNIANI, DRC CONGO(KINSHASA) YASHIKA NAMBA 1, HUKU TANZANIA IKIWA HAIMO KWENYE ORODHA.
1001011_545338152168858_129569371_n
WATU wameng'ngania takwimu za miaka 20 iliyopita .. Tanzania nchi ya tatu kwa umasikini Duniani mara Tanzania nchi ya kwanza kwa umasikini Duniani. Angalia Orodha ya Nchi masikini kutoka katika macho ya watu wanaoijua Dunia.
 
NA THE CHOIC.
Tanzania haimo kwanye orodha ya nchi 25 masikini zaidi Duniani.. Hii maana yake imependa sana katika miaka ya hivi karibuni kutoka nafasi ya 3 hadi nafasi ya 26! Aidha kwa kasi tuliyonayo tunaendelea 

kuzivuta nyuma nchi mbali mbali na kwenda juu zaidi. Aidha Tanzania inatajwa kuwa moja kati ya nchi 10 duniani ambazo uchumi wake unakuwa kwa kasi.  huku nchi ya Uganda ikiwa nafasi ya 21, Rwanda 25,Burundi nafasi ya 3 na  Kenya ikishika nafasi ya 30. Nchi Tajiri zaidi Duniani ni Qatar!

0 comments:

Post a Comment