Wilfred Muganyizi Lwakatare, akionesha alama ya vidole viwili wakati akipelekwa kizimbani juzi Jumatatu.
Mkuu wa Kitengo cha
Ulinzi na Usalama wa Chadema, Wilfred Muganyizi Lwakatare, muda huu
ameachiwa huru katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu baada ya
mashitaka yote yaliyokuwa yanamkabili kufutwa na muda huohuo kukamatwa
tene na kufunguliwa mashitaka mengine. Picha kutoka eneo hilo zitawajia
hivi punde.
Home
»
»Unlabelled
» Breaking news...........LWAKATARE AACHIWA HURU, AKAMATWA TENA
Wednesday, March 20, 2013
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment