Mara kwa mara tumekuwa tukisikia
matangazo kutoka mamlaka za maji katika mji yetu wakiwaeleza wateja
wao juu ya tatizo la maji kama lipo na kuwaomba radhi , utaratibu
ambao ni mzuri kwa mteja kujiandaa .
Lakini kwa upande wa shirika la
ugavi wa umeme nchini Tanesco wao wamekuwa wakikata umeme bila hata
ya taarifa sasa kinachofanywa na Tanesco ni kuboresha zaidi
utendaji wao ama kumkomesha mteja ? nini kifanyike kwa Tanesco ?
karibu kwa maoni yako
0 comments:
Post a Comment