Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisaini kitabu cha maombolezo ya msiba wa aliyekuwa Balozi wa Malawi nchini
Tanzania, Balozi Frossie Chiyaonga, wakati wa shughuli za kuaga mwili wa
marehemu zilizofanyika kwenye Ukumbi wa Mwalimu Nyerere, jijini Dar es Salaam,
leo Mei 12, 2014. Mwili huo unatarajia kusafirishwa kuelekea Malawi kwa maziko.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akitoa
heshima za mwisho mbele ya Jeneza lenye mwili wa Marehemu, Frossie Chiyaonga, aliyekuwa
Balozi wa Malawi nchini Tanzania, aliyefariki ghafla Ijumaa ya wiki iliyopita, wakati
wa shughuli za kuaga mwili wa marehemu zilizofanyika kwenye Ukumbi wa Mwalimu
Nyerere, jijini Dar es Salaam, leo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiwafariji baadhi ya wanandugu na familia ya aliyekuwa Balozi wa Malawi nchini
Tanzania, Balozi Frossie Chiyaonga, wakati wa shughuli za kuaga mwili wa
marehemu zilizofanyika kwenye Ukumbi wa Mwalimu Nyerere, jijini Dar es Salaam,
leo.
Sehemu
ya waombolezaji waliojitokeza kwenye shughuli hiyo ya kuagwa mwili wa marehemu.
Marehemu, Balozi Frossie Chiyaonga, enzi za uhai wake.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa
na baadhi ya viongozi wa Serikali ya Tanzania na Malawi wakati wa shughuli ya
kuaga mwili wa marehemu Balozi wa Malawi nchini Tanzania.
Sehemu
ya waombolezaji waliojitokeza kwenye shughuli hiyo ya kuagwa mwili wa marehemu.
Sehemu
ya waombolezaji waliojitokeza kwenye shughuli hiyo ya kuagwa mwili wa marehemu.
Waziri
wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe, akitoa heshima za
mwisho mbele ya Jeneza lenye mwili wa Marehemu, Frossie Chiyaonga, aliyekuwa
Balozi wa Malawi nchini Tanzania, aliyefariki ghafla Ijumaa ya wiki iliyopita, wakati
wa shughuli za kuaga mwili wa marehemu zilizofanyika kwenye Ukumbi wa Mwalimu
Nyerere, jijini Dar es Salaam, leo.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard
Membe, akitoa salamu za rambirambi, wakati wa shughuli hiyo.
0 comments:
Post a Comment