.

.
Monday, November 18, 2013

               
Waziri mkuu Mizengo Pinda (katikati) akizungumza jambo na Rais wa Mahakama ya Haki za Binadamu ya Afrika,Sofia Akkufo(kushoto) baada ya kufungua mkutano wa mahakama hiyo na Majaji na wakuu wa nchi za Afrika jana.

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mizengo Pinda(katikati)akifurahia jambo na Rais wa Mahakama ya Haki za Binadamu ya Afrika,Sofia Akkufo(kushoto) na Jaji Mkuu wa Tanzania,Othman Chande baada ya kufungua mkutano wa mahakama hiyo na Majaji wakuu wa nchi za Afrika jana.

Baadhi ya Majaji wakifatilia hotuba ya Waziri Mkuu,Mizengo Pinda
Waziri Pimda akifanyiwa mahojiano juu ya mkutano huo na waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali mkoani 

Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akiwa katika picha ya pamoja na watendaji wakuu wa mahakama za Afrika jijini Arusha jana.

0 comments:

Post a Comment