.

.
Thursday, March 6, 2014

Mchezo ukiendelea kati ya Manyara FC na Arusha FC kwenye uwanja wa Quaraa mjini Babati kwenye mashindano ya kupata wachezaji wazuri watakaoipa nguvu timu ya Taifa ya TFF ambapo Arusha walipigwa bao 3-0.
Jana timu ya Arusha FC walizidiwa nguvu na vijana wa Timu ya Manyara FC baada ya kukubali ushindi wa bao 3-0 dhidi yao.
Mashindano hayo yanayofanywa na TFF kwa ajili ya kusaka vipaji yalianzia jijini Arusha ambapo Arush FC ambao walikuwa wenyeji waliibuka mshindi kwa bao  2-1 dhidi ya wageni wao Manyara FC.

Mchezo huo ulirudiwa Mkoani Manyara na wageni wao wakawa Arusha FC ambapo walirusha heshima yao nyumbani kwa kuwapiga wageni bao 3-0,

0 comments:

Post a Comment