.

.
Friday, March 28, 2014

Mwenyekiti wa TACINE  Atanasi Kapunga akiongea katika mkutano huo
Mkuu wa wilaya ya Arusha John Mongela Akiwa anafungua rasmi mkutano wa umoja wa majiji  TACINE  uliofanyika jiji Arusdha hivi leo
washiriki wa  mkutano mkuu wa TACINE wakiwa wanamsikiliza mgeni rasmi akiwa anafungua mkutano
Wito umetolewa kwa Halimashauri zote nchini kutafuta njia mbadala za kuongezea Mapato yake ya ndani  tofauti na ilivyizoeleka kutegemea mapato yatokanayo na ushuru mbalimbali wanaokusanya katika halimashauri zao.
Wito huo umetolewa jana  na mkuu wa ya wilaya ya Arusha John Mongela wakati  akifungua mkutano mkuu wa    asasi ya umoja wa majiji Tanzania TACINE   inaowakutanisha  wakurugenzi pamoja na mameya wa majiji tanzania uliofanyika mkoani hapa.
Alibainisha kuwa  watendaji wa halimashauri  zote hapa nchini wanatakiwa kuangalia namna ya kuleta maendeleo katika halimshauri zao kwa kuunda miradi mikubwa  yenye tija  ambayo inaweza kukuza mapato ya halmashauri zao.

0 comments:

Post a Comment