HAKUNA NJIA NYINGINE YA KUONGEZA UKOO BILA
KUPITIA MFUMO HUU AMBAO KILA KIUMBE ANA UTARATIBU WAKE, HAPA BWANA MKUBWA (SIMBA) DUME AKIWA KATIKA HARAKATI ZA
KUWEKA MBUGU KWA SIMBA JIKE ILI AWEZE KUSHIKA UJAUZITO NA HATIMAYE
KUJIFUNGUA NA KUONGEZA IDADI YA FAMILIA YAO KATIKA TUKIO AMBALO BINADAMU
HULIFANYA KWA SIRI KUBWA.
Home
»
»Unlabelled
» TASWIRA YA MATUKIO NDANI YA HIFADHI YA WANYAMA TANZANIA.
Monday, April 15, 2013
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment