HUU NI UZALILISHAJI KWA MWANAMKE WA KITANZANIA LKN WAKO WAPI WALE WATETEZI WA KUTETEA HAKI
ZA WANAWAKE ?
.
UDHALILISHA HUU UNAFANYWA KATIKA
KUMBI ZA BAR ZA STAREHE ILI KUVUTIA WATEJA, SERIKALI IANZE KAZI YA
KUDHIBITI WAMILIKI WA KUMBI WANAORUHUSIWA VITENDO HIVI NA WANAWAKE WENYE
NAO WACHUKULIWE HATUA KALI ZA KISHERIA KWANI TUNA AMINI KUWA TABIA HIZI
ZINAWEZA KUKOMESHWA NA MAMLAKA HUSIKA.
JE HAKUNA KAZI NYINGINE ZAIDI YA KUJIDHALILISHA KATIKA KUMBI ZA STAREHE ?.
0 comments:
Post a Comment