.

.
Monday, March 4, 2013

10:44 PM

Mara  kwa mara  tumekuwa tukisikia matangazo  kutoka mamlaka  za maji katika mji yetu  wakiwaeleza wateja  wao juu ya tatizo la maji kama  lipo na kuwaomba radhi  , utaratibu ambao ni mzuri kwa mteja  kujiandaa .

Lakini  kwa upande wa shirika la ugavi wa umeme nchini Tanesco  wao  wamekuwa wakikata  umeme  bila hata ya taarifa  sasa  kinachofanywa na Tanesco ni kuboresha  zaidi  utendaji  wao ama kumkomesha  mteja ? nini kifanyike kwa Tanesco ? karibu kwa maoni yako

0 comments:

Post a Comment