.

.
Wednesday, September 25, 2013

.Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu katika Mkoa wa Manyara, imefanikiwa kupata hati safi kwa mwaka wa fedha ulioishia Juni 30, 2012 iliyotolewa na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG).

Akizungumza kwenye kikao cha Baraza la Madiwani wa halmashauri hiyo kilichofanyika juzi, Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya wilaya hiyo,Fortunatus Fwema alisema hata hivyo kuna masuala matano ya msisitizo.

Fwema alitaja masuala hayo kuwa ni pamoja na uvunaji na uuzaji miti ya msitu wa Ayadofa, kutokupokelewa kwa dawa zenye thamani ya Sh43.369 milioni kutoka MSD na ulipaji mishahara ya watumishi wasiolipa ruzuku kwa kutumia akaunti ya Amana...

0 comments:

Post a Comment