.

.
Thursday, December 5, 2013

Pichani ni Bertha Ismail mmiliki wa blog hii ya BERTHA BLOG,
Siku hii ni siku ya ya kuzaliwa kwangu ila inahitaji faraja sana kwani pamoja na kuwa siku ya furaha kubwa kwangu kuiona dunia lakini pia ni siku ya majonzi makubwa pia kutona na mapito yaliyonikumba ututni,.
kwa kuwa kusimulia hadharani sitaweza magumu niliyopitia lakini niombe wadau wanitie moyo.

0 comments:

Post a Comment