.

.
Thursday, December 5, 2013


Msajili wa vyama vya siasa amesisitiza uwepo wa Mkutano wa Amani unaotarajiwa kufanyika kesho mkoani Arusha ambapo amewataka viongozi wa dini, siasa na mila kuhubiri Amani na waumini wao kuhudhuria kwa wingi.
Alisema kuwa viongozi hao wasitumie wingi wa wanachama wao kuukwamisha mkutano huo bali wingi wa wanachama wao uwe chachu ya kuufanikisha mkutano huo ili matukio ya uvunjifu wa Amani uweze kwisha mkoani  Hapa lengo ni kufanikisha uchumi wa Arusha kukua kwa utalii, mikutano,n.k

0 comments:

Post a Comment