.

.
Sunday, January 27, 2013

10:24 PM

Beki wa Prisons, Jumanne Elfadhil akijaribu kumzuia winga wa Yanga, Simon Msuva
Msuva akiruka daluga la Elfadhil
Msuva akiwatoka mabeki wa Prisons
Msuva akiwachambua mabeki wa Prisons
JJerry Tegete akimtoka mchezaji wa Prisons, Sino Augustino katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara dhidi ya TZ Prisons Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam jioni hii. Yanga ilishinda 3-1.
Tegete na Sino
Sino amemgonga kwenye goti Tegete anayeugulia maumivu
Sino anajiandaa kumiliki mpira Tegete akienda chini huku akiugulia maumivu
Tegete akishangilia moja ya mabao yake na Msuva
Tegete na msuva
Wachezaji wa Yanga wakimpongeza Tegete kulia
Hatari kwenye lango la Prisons
Mpira uko nyavuni kulia, kipa wa Yanga Ally Mustafa 'Barthez' akiwa ameduwaa baada ya Prisons kupata bao lao
Kavumbangu akifumua shuti
Kavumbangu akimtoka Elfadhil
Kavumbangu akimiliki mpira mbele ya mabeki wa Prisons
Henry Mwalugala akiwa amelala kuondosha mpira miguuni mwa Nurdin Bakari
Kocha wa Yanga SC, Mholanzi Ernie Brandts akisalimiana na kocha wa Prisons, Jumanne Challe kabla ya mchezo baina ya timu hizo jioni Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Yanga ilishinda 3-1.

Kikosi cha Prisons kilichoanza leo

Kikosi cha Yanga kilichoanza leo

Didier Kavumbangu akimtoka beki wa Prisons Jumanne Elfadhil katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam jioni hii. Yanga ilishinda 3-1.

Kavu amepiga krosi baada ya kupata mwanya

0 comments:

Post a Comment