Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mikono na Afisa Mtendaji Mkuu wa
Mfuko wa Changamoto za Milenia (MCC) Bw. Daniel Wolde Johannes
aliyemponegza kwa hotuba nzuri ya uzinduzi wa mradi wa ukarabati na
upanuzi wa miundombinu ya kusambaza umeme mkoani Dodoma chini ya
ufadhili ya serikali ya Marekani kupitia MCC jana Aprili 11, 2013 katika kijiji cha Mkoka, wilaya ya Kongwa mkoani Dodoma.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akifunua pazia huku Afisa Mtendaji Mkuu wa Mfuko
wa Changamoto za Milenia (MCC) Bw. Daniel Wolde Johannes na Balozi wa
Marekani nchini Mhe Alfonso Lendhardt wakimponegza kwa ishsra hiyo ya
uzinduzi wa mradi wa ukarabati na upanuzi wa miundombinu ya kusambaza
umeme mkoani Dodoma chini ya ufadhili ya serikali ya Marekani kupitia
MCC jana Aprili 11, 2013 katika kijiji cha Mkoka, wilaya ya Kongwa mkoani Dodoma Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akibofya kitufe huku akishuhudiwa na Afisa
Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Changamoto za Milenia (MCC) Bw. Daniel Wolde
Johannes na Balozi wa Marekani nchini Mhe Alfonso Lendhardt
wakishuhudia uzinduzi huo wa mradi wa ukarabati na upanuzi wa
miundombinu ya kusambaza umeme mkoani Dodoma chini ya ufadhili ya
serikali ya Marekani kupitia MCC jana Aprili 11, 2013 katika kijiji cha Mkoka, wilaya ya Kongwa mkoani DodomaRais
Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza Afisa Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa
Changamoto za Milenia (MCC) Bw. Daniel Wolde Johannes kwa hotuba nzuri
katika sherehe ya uzinduzi wa mradi wa ukarabati na upanuzi wa
miundombinu ya kusambaza umeme mkoani Dodoma chini ya ufadhili ya
serikali ya Marekani kupitia MCC jana Aprili11, 2013 katika kijiji cha
Mkoka, wilaya ya Kongwa mkoani Dodoma. Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia katika sherehe za uzinduzi wa mradi
wa ukarabati na upanuzi wa miundombinu ya kusambaza umeme mkoani Dodoma
chini ya ufadhili ya serikali ya Marekani kupitia MCC jana Aprili 11,
2013 katika kijiji cha Mkoka, wilaya ya Kongwa mkoani Dodoma. Rais
Jakaya Mrisho Kikwete, Makamu wa Rais Dkt Mohamed Gharib Bilali na
Afisa Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Changamoto za Milenia (MCC) Bw. Daniel
Wolde Johannes katika picha ya pamoja na viongozi na wadau mbalimbali
katika sherehe ya uzinduzi wa mradi wa ukarabati na upanuzi wa
miundombinu ya kusambaza umeme mkoani Dodoma chini ya ufadhili ya
serikali ya Marekani kupitia MCC jana Aprili 11, 2013 katika kijiji cha Mkoka, wilaya ya Kongwa mkoani Dodoma Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiondoka baada ya uzinduzi wa mradi wa ukarabati
na upanuzi wa miundombinu ya kusambaza umeme mkoani Dodoma chini ya
ufadhili ya serikali ya Marekani kupitia MCC jana Aprili 11, 2013 katika kijiji cha Mkoka, wilaya ya Kongwa mkoani Dodoma.
0 comments:
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.