.

.
Monday, May 6, 2013

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia waumini wa Dini ya Kikristo wakati wa ghafla ya kuwekwa wakfu Askofu mpya wa KKKT Dayosisi ya Kusini Mashariki ya Ziwa Viktoria Mchungaji Emmanuel Joseph Makala na kuzinduliwa kwa Dayosisi hiyo mpya  ya Kusini Mashariki ya Ziwa Victoria iliyofanyika jana katika kanisa la Ebeneza  Shinyanga mjini.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimpongeza Askofu mpya wa Kanisa la Kiinjili  la Kilutheri Tanzania (KKKT)  Dayosisi ya Kusini Mashariki ya Ziwa Viktoria Mchungaji  Emannuel Joseph Makala, baada ya kuwekwa wakfu na kuzinduliwa kwa Dayosisi  hiyo katika Kanisa la Ebeneza  Shinyanga mjini jana Mei 5, 2013.

0 comments:

Post a Comment