.

.
Wednesday, May 8, 2013

Taarifa rasmi zinasema Kocha wa timu ya Manchester United Sir Alex Fergason Ameamua kustafu Mwisho wa Msimu,Tayari bodi ya timu hiyo imepokea taarifa toka kwa kocha huyo tayari kwa majadiliano ya kumtafuta mrithi wa kocha huyo aliyewapa mafanikio makubwa timu ya Manchester united kwa kipindi cha muda mrefu aliyokaa katika timu hiyo..

Kocha huyo mwenye umri wa miaka 71 ataondoka mwisho wa msimu huu na mechi yake ya mwisho ataiongoza Manchester United Dhidi ya West Bromwich Albion tarehe 19 mei .

Akiwa kocha wa Manchester united Sir Alex Fergason Ameipa timu hiyo jumla ya makombe 38 toka ameanza kuifundisha timu hiyo mwaka 1986.

0 comments:

Post a Comment