.

.
Monday, May 6, 2013

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Mohamed Shein,akizindua mbio za Mwenge wa uhuru Kitaifa kwa kuuwasha huko Chokocho Wilaya ya Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba leo,(kulia) Waziri wa Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Tanzania Bara,Dk.Fenelle Mukangara,na Waziri wa Ustawi wa Jamii Maendeleo ya Vijana Wanawake na Watoto Zanzibar Zainab Omar Mohamed,(kushoto).
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Mohamed Shein,akimkabidhi Mwenge wa Uhuru Kiongozi wa Mbio za Mwenge Juma Ali Sima,(kushoto) kutoka Mkoa wa Kusini Unguja,baada kuzindua rasmi mbio hizo Kitaifa huko Chokocho Wilaya ya Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Mohamed Shein,akizindua mbio za Mwenge wa uhuru Kitaifa baada ya kuuwasha huko Chokocho Wilaya ya Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba leo,mbele ya maelfu ya wananchi wa Mkoa wa Kusini Pemba.Picha na Ramadhan Othmna,IKULU-Zanzibar

0 comments:

Post a Comment