.

.
Monday, December 24, 2012

12:16 AM
Ndiyo hivyo tunamaliza mwaka, na kila inapofika mwishoni mwa mwaka kunakuwa sikukuu mbili kubwa, moja ni sikukuu ya Krismasi na nyingine ni sikukuu ya mwaka mpya. Sikukuu ya Krismasi, Ndiyo inayotangulia, hivyo Bertha Blog inawatakieni sikukuu njema ya Chrismass na mwaka mpya.

Pia jinsi ninavyokaribia mwishoni mwa mwaka nachukua nafasi hii kuwakumbusha watu maaalum waliogusa maisha yangu (ndugu, marafiki, majirani,) walioonyesha kujali na kuyafanya maisha kuwa ni ya maana zaidi kwangu, Mungu azidi kuwabariki na kuwapa mema ikiwemo kumaliza mwaka huu na kuingia mwaka mpya salama wenye baraka na mafanikio tele.

Mbali na hilo pia niwaombe radhi wote niliowakosea kwani mimi ni mwanadam na si mkamilifu mbele za Mungu licha ya wanadam wenzangu, either kwa kusema kuwaza au kutenda niliwakera, kuudhi au kuondoa Amani ya moyo wenu kwa bahati mbaya au kwa kukusudia, au kama huwezi samehe kwa radhi hiyo ya pamoja basi niambie niombe radhi zaidi.
Amen.
Merry Chrismass and Happy new year

0 comments:

Post a Comment