pichani ni kikundi cha wananawake cha jijini arusha kijulikanacho kama Mothers Groups wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kutembelea kituo cha watoto yatima kijulikancho kama Eumanipition Organisition kilichopo katika eneo la Sinon mjini hapa,kikundi hicho kiliwapa watoto yatima msaada wa zaidi ya laki tatu ambapo pia walishiriki pamoja vinyawaji lengo likiwa ni kuwafariji ,Picha na Queen Lema,Arusha |
0 comments:
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.