.

.
Tuesday, December 18, 2012

10:52 AM

Waziri wa Ujenzi Dk John Magufuli akiongea wakati akizindua  Bodi ya Mfuko wa Barabara na Bodi ya Wakala wa Barabara(TANROADS) jijini Dar es Salaam jana.
Waziri wa Ujenzi Dk John Magufuli (kulia) akimpa zawadi Mjumbe wa Bodi ya Mfuko wa Barabara aliyemaliza muda wake kwa mujibu wa sheria za Bodi, Mhandisi Omar Chambo (kushoto). Waziri Magufuli amemshukuru Chambo ambaye pia  ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi pamoja na wajumbe wengine waliomaliza muda wao kwa mchango mkubwa walioutoa katika mfuko na kuleta ufanisi.
Mjumbe wa Bodi ya Mfuko wa Barabara aliyemaliza muda wake kwa mujibu wa sheria za Bodi, Mhandisi Omar Chambo, akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa Bodi ya Mfuko wa Barabara na Bodi ya Wakala wa Barabara (TANROADS)
Mwenyekiti wa Bodi ya Mfuko wa Barabara Dk James Wanyancha wakati wa hafla ya uzinduzi wa Bodi ya Mfuko wa Barabara na Bodi ya Wakala wa Bararabra (TANROADS) jijini Dar es Salaam jana.
Waziri wa Ujenzi Dk John Magufuli (kushoto) akimpongeza Mwenyekiti wa Bodi ya Mfuko wa Barabara Dk James Wanyancha wakati wa  hafla ya uzinduzi wa Bodi ya Mfuko wa Barabara na Bodi ya Wakala wa Bararabra (TANROADS) jijini Dar es salaam jana.
Baadhi ya Wageni waalikwa waliohudhuria hafla ya uzinduzi wa Bodi ya TANROADS jijini Dar es Salaam jana
Baadhi ya Wageni waalikwa waliohudhuria hafla ya uzinduzi wa Bodi ya TANROADS jijini Dar es Salaam jana, ambapo mgeni rasmi alikuwa Waziri wa Ujenzi Dk John Magufuli (hayupo pichani)
 Waziri wa Ujenzi Dk Magufuli (katikati waliokaa), akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Bodi ya Mfuko wa Barabara na Bodi ya Wakala wa Barabara (TANROADS) baadaya uzinduzi huo.Picha Zote na Mwanakombo Jumaa- MAELEZo

0 comments:

Post a Comment