![]() |
| Khamis Mcha 'Vialli' akishangilia baada ya kuifungia Zanzibar bao la kwanza |
![]() |
| Adeyom Saleh Ahmed akimtoka beki wa Kenya, Joackins Atudo |
![]() |
| Nadir Cannavaro ameruka na kipa wa Kenya |
![]() |
| Mcha anapasua ukuta wa Kenya |
![]() |
| Mcha Vialli kamlamba mtu chenga, kamuacha chini anaambaa |
![]() |
| Suleiman Kassim 'Selembe' akipasua katikati ya msitu wa wachezaji wa Kenya |
![]() |
| Kocha wa makipa wa Zanzibar, Farouk Ramadhan akimpa maelekezo kabla ya mechi kipa Mwadini Ally |
![]() |
| Kikosi cha Zanzibar leo |















0 comments:
Post a Comment